Klabu ya Arsenal imeongeza pengo la pointi kileleni mwa Premier League baada ya kuibuka na ushindi wa 4-1 dhidi ya majirani zao wa kaskazini mwa London, Tottenham Hotspur, katika mchezo wa derby uliofanyika Jumapili usiku kwenye Uwanja wa Tottenham Hotspur Stadium.
Ushindi huo umewaweka Gunners wakiwa na pointi 61, wakipanda kwa alama tano juu ya wapinzani wao wakuu katika mbio za..... download Xtra 90 App



