Azam Fc imeendeleza ubabe kwenye ligi kuu ya NBC baada ya kuichapa Mtibwa Sugar mabao 3-0 katika mchezo uliopigwa uwanja wa Azam Complex Jumatano usiku.
Mshambuliaji Mcongomani Jacques Ngita alikuwa shujaa wa Azam Fc katika mchezo huo akifunga mabao mawili.
Feisal Salum 'Fei Toto' ndiye aliyefungua milango ya Mtibwa Sugar kwa goli la mapema kabla yha Ngita kuongeza mengine..... download Xtra 90 App



