Local,Normal News,TRA

TRA United yahamia Arusha

Joel JJ By Joel JJ
β€’
26 Feb 2026
TRA United yahamia Arusha

Klabu ya TRA United iliyokuwa na makazi yake mkoani Tabora sasa imehamia rasmi mkoani Arusha ambako itacheza mechi zake za nyumbani za ligi zinazofuata katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid.

Timu hiyo imepokelewa rasmi na mkuu wa mkoa wa Arusha CPA Amos Makalla mapema leo na kuanza maisha mapya mkoani humo.

Ikumbukwe kuwa TRA United inakuwa timu ya pili ya ligi kuu kuhamia mkoani humo ikitanguliwa na Fountain Gate FC iliyohama mkoani Manyara na kutua jijini Arusha.

Sasa wakazi wa Arusha watakuwa na uhakika wa kushuhudia mechi za ligi kuu hasa vigogo wa soka nchini klabu za Simba na Yanga ambazo zina mashabiki kila kona ya Tanzania.

More Stories

Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
43m ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
1h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
1h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
2h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
3h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
3h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
4h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
17h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
17h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
18h ago
READ MORE β†’