Wachezaji wa Tottenham wanakabiliwa na kupunguzwa kwa mishahara kwa lazima ikiwa klabu hiyo itashushwa kutoka Ligi ya Premia hadi katika ligi ya Ubingwa. (The Athletic - Subscription Required).
Inter Milan wanavutiwa na mlinda lango wa Liverpool na Brazil Alisson, 33, huku Juventus pia wakimtaka. (La Repubblica - Subscription Required in Italy).
Manchester United wanamtaka nahodha..... download Xtra 90 App



