Usiku wa Machi 3, 2026, dimba la Camp Nou lilishuhudia pambano kali na la kusisimua kati ya FC Barcelona na Atlético Madrid katika mchezo wa marudiano wa nusu fainali ya Copa del Rey.
Barcelona waliibuka na ushindi wa mabao 3-0, lakini ushindi huo haukutosha kuwavusha kwenda fainali kutokana na matokeo ya jumla ya 4-3 kwa faida ya Atlético Madrid kufuatia kipigo cha 4-0 katika mchezo wa..... download Xtra 90 App



