Klabu ya Arsenal imeendelea kuimarisha nafasi yake kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu ya England (EPL) baada ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Brighton katika mechi iliyochezwa Jumatano usiku.
Bao pekee la mchezo lilifungwa na Bukayo Saka, na kuisaidia Arsenal kujikusanyia pointi tatu muhimu katika mbio za ubingwa wa msimu huu. Ushindi huo umeifanya Arsenal kufikisha pointi 67 na..... download Xtra 90 App



