Tottenham Hotspur wamefanya mazungumzo na aliyekuwa kocha wa Olympique de Marseille Roberto De Zerbi kuhusu uwezekano wa kumpa nafasi katika majira ya joto iwapo timu hiyo itasalia katika Ligi kuu (Telegraph).
Meneja na mchezaji wa zamani wa Tottenham Glenn Hoddle amesema yuko tayari kuisaidia timu hiyo kuepuka kushuka daraja iwapo kocha wa muda Igor Tudor ataondolewa baada ya kupoteza..... download Xtra 90 App



