Manchester United imemuongeza kiungo wa Bournemouth, Muingereza Marcus Tavernier, 26, kwenye orodha ya wachezaji inaowawinda. (Mail Plus - subscription required).
Unai Emery anaonekana kuwa na uwezekano mkubwa wa kuondoka Aston Villa msimu huu wa joto huku changamoto ya kocha huyo wa Uhispania ikiongezeka kutokana na vikwazo vya kifedha vinavyoizunguka klabu hiyo. (Football..... download Xtra 90 App



