Kocha Mkuu wa Tanzania Prisons Shadrack Nsajigwa amesema malengo ya kikosi chake ni kuhakikisha wanaendelea kufanya vyema kwenye ligi kuu ya NBC ili kujiepusha na hatari ya kuteremka daraja.
Nsajigwa alianza vyema majukumu yake ya kuinoa Prisons akifanikiwa kuondoka na alama moja katika mchezo uliopita wa ligi kuu dhidi ya Azam Fc.
Mchezo unaofuata kwa Prisons ni dhidi ya mabingwa..... download Xtra 90 App



