Local,Normal News,Simba

JayRutty amwaga magari Simba

Joel JJ By Joel JJ
β€’
8 Mar 2026
JayRutty amwaga magari Simba

Mzabuni wa jezi za klabu ya Simba, kampuni ya JayRutty leo imekabidhi magari matano mapya kwa wachezaji watano kama utekelezaji wa ahadi iliyotolewa na Mkurugenzi wake, CPA Joseph Rwegasira.

Wachezaji waliokabidhiwa magari ni Djibril Kassali, Inno Loemba, Annicet Oura, Libasse Guaye na Ismail Toure

More Stories

Klopp amchagua ter stegen, kipa namba moja ujerumani

4m ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam

33m ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz

1h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho

Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup

2h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani

3h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027

Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold

16h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
17h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu

18h ago
READ MORE β†’