Local,Normal News,Yanga, Polisi

Yanga yaifumua Polisi Tanzania 7-1 kombe la CRDB

Joel JJ By Joel JJ
β€’
8 Mar 2026
Yanga yaifumua Polisi Tanzania 7-1 kombe la CRDB

Yanga imetinga hatua ya 16 bora ya kombe la CRDB kibabe wakiibuka na ushindi wa mabao 7-1 dhidi ya Polisi Tanzania katika mchezo uliopigwa uwanja wa KMC Complex.

Zilikuwa dakika 90 ngumu kwa Polisi Tanzania mbele ya Wananchi waliokuwa na uchu wa kutinga hatua inayofuata ya michuano hiyo.

Mapema tu dakika ya kwanza Mudathir Yahya akaitanguliza kwa bao la shuti la chini chini kutoka nje kidogo ya 18.

Yanga iliendelea kutawala mchezo huo na kuongeza mabao zaidi kupitia kwa Depu aliyefunga 'hat-trik', Buba, Casemiro na Joseph Majagi aliyejifunga katika jitihada za kuokoa mpira uliopigwa na Okello ambao ulikuwa ukielekea wavuni.

Bao pekee la Polisi Tanzania lilikuwa la kujifunga beki wa Yanga Frank Assink katika jitihada za kuokoa mpira wa kona kwenye dakika ya 81.

>>> XTRA 90 MEDIA imetangaza nafasi za kazi. BONYEZA HAPA

More Stories

Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
3h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
3h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
4h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
5h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
5h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
6h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
6h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
19h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
20h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
21h ago
READ MORE β†’