Mechi za hatua ya 32 bora kombe la CRDB lilikamilika jana kwa Azam Fc kupata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Mbeya Kwanza na hivyo kukamilisha idadi ya timu 16 zilizofuzu hatua inayofuata.
Ratiba ya mechi za hatua ya 16 bora;
- Yanga vs TMA Stars
- Simba vs Dodoma Jiji
- Singida BS vs Mbeya City
- Azam Fc vs Fountain Gate
- Namungo Fc vs TRA United
- Coastal Union vs Pamba Jiji
- JKT Tanzania vs Mbuni Fc
- Geita Gold vs Mashujaa Fc
Klabu za TMA Stars, Mbuni Fc na Geita Gold Fc ndio timu pekee kutoka ligi ya Championship ambazo zimeweza kupenya hatua ya 16 bora.
>>> XTRA 90 MEDIA imetangaza nafasi za kazi. BONYEZA HAPA