Fainali ya michuano ya jimbo la Minas Gerais nchini Brazil, Campeonato Mineiro, iligeuka kuwa tukio la aibu baada ya vurugu kubwa kuzuka kati ya klabu hasimu Cruzeiro na AtlΓ©tico Mineiro, na kusababisha jumla ya wachezaji 23 kupewa kadi nyekundu.
Mechi hiyo iliyochezwa katika uwanja wa Mineirao mjini Belo Horizonte ilimalizika kwa Cruzeiro kushinda 1β0 kupitia bao la mshambuliaji Kaio..... download Xtra 90 App



