Juventus wana nia ya kumsajili beki wa pembeni wa Tottenham na Uingereza Djed Spence, 25, msimu huu wa joto (Gazzetta dello Sport - in Italian).
Liverpool wanafikiria kumsajili winga wa Al-Ittihad na Ufaransa Moussa Diaby, mwenye umri wa miaka 26, huku mchezaji huyo wa zamani wa Aston Villa akitaka kuondoka katika klabu hiyo ya Saudi Pro League msimu huu wa joto...... download Xtra 90 App



