Local,Normal News,TRA, Simba

TRA United yaipeleka Simba Sheikh Amri Abeid, Arusha

Joel JJ By Joel JJ
β€’
12 Mar 2026
TRA United yaipeleka Simba Sheikh Amri Abeid, Arusha

Mchezo wa Ligi Kuu ya NBC kati ya TRA United na Simba SC utapigwa kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, Arusha.

Afisa habari TRA United, Christina Mwagala amethibitisha hilo wakati akitoa taarifa kwa vyombo vya habari.

TRA iliuchagua uwanja wa Black Rhino, Karatu kama uwanja wao wa nyumbani na jana ilicheza dhidi ya Namungo na kupata ushindi wa mabao 2-0.

Kutokana na ukubwa wa mchezo huo klabu imetangaza kutumia uwanja wa Sheikh Amri Abeid badala ya Black Rhino.

Mchezo huo utapigwa saa 10:00 Jioni, Jumamosi March 14 2026.

More Stories

Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
1h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
1h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
2h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
3h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
3h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
4h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
5h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
18h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
18h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
19h ago
READ MORE β†’