TRA United vs Simba, mvua yakwamisha mchezo

Joel JJ By Joel JJ β€’ 14th March 2026

TRA United vs Simba, mvua yakwamisha mchezo

Mchezo wa ligi kuu ya NBC kati ya TRA United dhidi ya Simba uliokuwa upigwe leo Jumamosi March 14 saa 10 jioni katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid mkoani Arusha, haujafanyika kutokana na mvua kubwa iliyonyesha na kupelekea uwanja kujaa maji.

Kamishna wa mchezo huo, Mussa Nyamandege ameuahirisha kwa kuzingatia matakwa ya kikanuni.

Taarifa zaidi kuhusu hatma ya mchezo inatarajiwa..... download Xtra 90 App

More Stories

Mpanzu akabidhiwa majukumu ya Doumbia Simba
Mpanzu akabidhiwa majukumu ya Doumbia Simba
Today, READ MORE β†’
Hersi atamba, Yanga haijamaliza kusajili bado mmoja
Hersi atamba, Yanga haijamaliza kusajili bado mmoja
Today, READ MORE β†’
Ridhiwani Kikwete Ajiunga na Baraza la Wadhamini la Yanga
Ridhiwani Kikwete Ajiunga na Baraza la Wadhamini la Yanga
Today, READ MORE β†’
Yanga watangaza bajeti ya Bilioni 36 kwa msimu wa 2026/27.
Yanga watangaza bajeti ya Bilioni 36 kwa msimu wa 2026/27.
Today, READ MORE β†’
Rc. Chalamila atangaza kujiunga na wananchi katika mkutano mkuu wa Yanga.
Rc. Chalamila atangaza kujiunga na wananchi katika mkutano mkuu wa Yanga.
Today, READ MORE β†’
Coastal Union yatangaza rasmi Coastal Union Festival 2026
Coastal Union yatangaza rasmi Coastal Union Festival 2026
Today, READ MORE β†’
Yanga yamtambulisha namba 6 ni Fred Ngoma
Yanga yamtambulisha namba 6 ni Fred Ngoma
Today, READ MORE β†’
Danny Welbeck Atua Chelsea FC Rasmi, Asaini Mkataba wa Miaka Miwili
Danny Welbeck Atua Chelsea FC Rasmi, Asaini Mkataba wa Miaka Miwili
Today, READ MORE β†’
Simba yatambulisha jezi mpya 2026/27
Simba yatambulisha jezi mpya 2026/27
Yesterday, READ MORE β†’
Simba yaichapa Singida lakini timu zote zaaga mashindano
Simba yaichapa Singida lakini timu zote zaaga mashindano
Yesterday, READ MORE β†’