Klabu ya Real Madrid imepata ushindi muhimu wa mabao 4β1 dhidi ya Elche CF katika mchezo wa La Liga uliochezwa Jumamosi, Machi 14, 2026 kwenye Uwanja wa Santiago Bernabeu Stadium. Ushindi huo umeifanya Real Madrid kuendelea kuweka presha katika mbio za ubingwa wa ligi ya Hispania wakiwa nyuma ya vinara Barcelona kwa tofauti ya alama moja. .



