Mikiki mikiki ya ligi kuu ya NBC inaendelea leo ambapo michezo miwili inatarajiwa kupigwa katika viwanja tofauti.
Mchezo wa mapema saa 10, Mbeya City itaikaribisha Singida BS katika mchezo utakaopigwa uwanja wa Tanzanite Kwaraa, Babati mkoani Manyara.
Mchezo huo utafuatiwa na mechi kubwa inayosubiriwa kwa hamu na mashabiki wa soka nchini, dabi ya Dar es salaam kati ya Azam Fc dhidi..... download Xtra 90 App



