Klabu ya Esperance Sportive de Tunis imepata ushindi muhimu wa bao 1β0 dhidi ya mabingwa wa kihistoria wa Afrika Al Ahly SC katika mchezo wa mkondo wa kwanza wa robo fainali ya CAF Champions League uliochezwa Jumapili, Machi 15, 2026 kwenye Uwanja wa Hammadi Agrebi mjini RadΓ¨s.
Mchezo huo uliokuwa ukisubiriwa kwa hamu na mashabiki wa soka barani Afrika uliwakutanisha miamba miwili ya..... download Xtra 90 App



