Nahodha wa Manchester United, Bruno Fernandes, ameandika historia mpya katika klabu hiyo baada ya kuvunja rekodi iliyodumu kwa zaidi ya miaka 25 iliyowekwa na gwiji wa zamani David Beckham.
Rekodi hiyo ilivunjwa katika mchezo wa Ligi Kuu England ambapo Manchester United iliibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Aston Villa kwenye uwanja wa Old Trafford. Katika mechi hiyo, Fernandes alitoa..... download Xtra 90 App



