Soko la usajili barani Ulaya linaendelea kupamba moto huku vilabu vikubwa vikianza kupanga mikakati ya msimu ujao. Tetesi za Jumanne zinaonyesha wazi kuwa vita ya kuwania wachezaji chipukizi na nyota waliothibitisha ubora wao imezidi kushika kasi.
Vita ya Manchester United na Bayern Munich kwa Anderson
Kiungo wa Nottingham Forest, Elliot Anderson, ameibuka kuwa mmoja wa wachezaji..... download Xtra 90 App



