Klabu kubwa barani Ulaya zinaendelea kupiga hesabu za kujiimarisha kuelekea dirisha lijalo la usajili, huku tetesi mbalimbali zikihusisha nyota kadhaa wakubwa wa soka.
Taarifa kutoka England zinaeleza kuwa FC Barcelona wanapanga kujaribu kumbakisha mshambuliaji wa Manchester United, Marcus Rashford, kwa mkopo kwa msimu mwingine. Hatua hiyo inalenga kuepuka kulipa ada ya uhamisho..... download Xtra 90 App



