Simba yavutwa sharubu Mwanza, Azam Fc yakwama Kigoma

Joel JJ By Joel JJ β€’ 19th March 2026

Simba yavutwa sharubu Mwanza, Azam Fc yakwama Kigoma

Wekundu wa Msimbazi, Simba Sc wameshindwa kunufaika na matokeo ya watani zao Yanga baada ya kulazimishwa sare ya bao 1-1 dhidi ya Pamba Jiji katika mchezo wa ligi kuu uliopigwa uwanja wa CCM Kirumba.

Jana Yanga ililazimishwa suluhu ya bila kufungana dhidi ya TRA United na kuibua shangwe kwa mashabiki wa Simba wakiamini wana nafasi ya kupunguza gap la pointi dhidi ya watani zao hao kwenye..... download Xtra 90 App

More Stories

Ridhiwani Kikwete Ajiunga na Baraza la Wadhamini la Yanga
Ridhiwani Kikwete Ajiunga na Baraza la Wadhamini la Yanga
Today, READ MORE β†’
Yanga watangaza bajeti ya Bilioni 36 kwa msimu wa 2026/27.
Yanga watangaza bajeti ya Bilioni 36 kwa msimu wa 2026/27.
Today, READ MORE β†’
Rc. Chalamila atangaza kujiunga na wananchi katika mkutano mkuu wa Yanga.
Rc. Chalamila atangaza kujiunga na wananchi katika mkutano mkuu wa Yanga.
Today, READ MORE β†’
Coastal Union yatangaza rasmi Coastal Union Festival 2026
Coastal Union yatangaza rasmi Coastal Union Festival 2026
Today, READ MORE β†’
Yanga yamtambulisha namba 6 ni Fred Ngoma
Yanga yamtambulisha namba 6 ni Fred Ngoma
Today, READ MORE β†’
Danny Welbeck Atua Chelsea FC Rasmi, Asaini Mkataba wa Miaka Miwili
Danny Welbeck Atua Chelsea FC Rasmi, Asaini Mkataba wa Miaka Miwili
Today, READ MORE β†’
Simba yatambulisha jezi mpya 2026/27
Simba yatambulisha jezi mpya 2026/27
Yesterday, READ MORE β†’
Simba yaichapa Singida lakini timu zote zaaga mashindano
Simba yaichapa Singida lakini timu zote zaaga mashindano
Yesterday, READ MORE β†’
Polisi Tanzania yanasa wino wa Beno Kakolanya msimu ujao
Polisi Tanzania yanasa wino wa Beno Kakolanya msimu ujao
Yesterday, READ MORE β†’
TFF yatoa onyo kwa klabu zisizofanya usajili FIFA Connect
TFF yatoa onyo kwa klabu zisizofanya usajili FIFA Connect
Yesterday, READ MORE β†’