Local,Normal News,International,Transfer News,Real mMdrid,

RUDIGER KARIBU KUSAINI MKATABA MPYA REAL MADRID

Xtra 90 Media By Xtra 90 Media
β€’
20 Mar 2026
RUDIGER KARIBU KUSAINI MKATABA MPYA REAL MADRID

Real madrid wako kwenye mazungumzo na beki wao raia wa Ujerumani mwenye umri wa miaka 33, Antony rüdiger, kuhusu kuongeza mkataba mpya.

Mkataba wa Rüdiger unatarajiwa kumalizika majira ya joto, huku taarifa zikieleza kuwa pande zote mbili zinaonyesha nia ya kuendelea na ushirikiano huo. Uongozi wa Madrid unaona umuhimu wa kubaki na beki huyo mwenye uzoefu, hasa katika kipindi hiki ambacho klabu inahitaji uimara zaidi safu ya ulinzi.

Wakati huohuo, Madrid wanahitaji beki mwenye uzoefu kikosini, hasa ikizingatiwa kuwa David alaba anatarajiwa kuondoka klabuni hapo.

(Chanzo: MARCA in English)

More Stories

APR Fc yawaondosha aigles du congo kwenye caf champions league
APR Fc yawaondosha aigles du congo kwenye caf champions league
5h ago
READ MORE β†’
Azam Fc yaomboleza kifo cha mlinda lango U20
Azam Fc yaomboleza kifo cha mlinda lango U20
9h ago
READ MORE β†’
Hatuna presha kuikabili Yanga - Kocha Gaborone United
Hatuna presha kuikabili Yanga - Kocha Gaborone United
11h ago
READ MORE β†’
Manqoba aweka tahadhari mechi dhidi ya Gaborone United
Manqoba aweka tahadhari mechi dhidi ya Gaborone United
13h ago
READ MORE β†’
Rasmi: JoΓ£o Pedro Atwaa Tuzo Ya Mchezaji Bora Wa Mwezi Wa Agosti
Rasmi: JoΓ£o Pedro Atwaa Tuzo Ya Mchezaji Bora Wa Mwezi Wa Agosti
15h ago
READ MORE β†’
Simba inalenga hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, nusu fainali ni lengo kubwa
Simba inalenga hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, nusu fainali ni lengo kubwa
15h ago
READ MORE β†’
Libasse awapiga chini Max na Mwajanga, Kwenye tuzo za Mwezi.
Libasse awapiga chini Max na Mwajanga, Kwenye tuzo za Mwezi.
16h ago
READ MORE β†’
Fei Toto azipotezea Simba, Yanga
Fei Toto azipotezea Simba, Yanga
18h ago
READ MORE β†’
Xtra 90 Bets : Utabiri wa mechi 21, Septemba 11 2026
Xtra 90 Bets : Utabiri wa mechi 21, Septemba 11 2026
21h ago
READ MORE β†’
UEFA champions league: matokeo ya usiku
UEFA champions league: matokeo ya usiku
1d ago
READ MORE β†’