Katika kipindi ambacho wengi walidhani mlinda lango Aishi Manula ameisha kutokana na umri na jeraha, golikipa huyo wa taifa na wa klabu ya Azam FC amerudi kwa nguvu zake kamili, akithibitisha kuwa hadithi za sifa mbaya zilikuwa mbali na ukweli.
Safari ya Kurudi Uwezo
Baada ya kupata jeraha lililomfanya akae nje ya uwanja kwa muda mrefu na baadae kuachwa na waliokuwa waajiri wake..... download Xtra 90 App



