Local,Normal News,Azam, Simba, Taifa Stars, Makala

Aishi Manula amepambana na magumu yote, sasa amerejea kwenye ubora

Joel JJ By Joel JJ
β€’
20 Mar 2026
Aishi Manula amepambana na magumu yote, sasa amerejea kwenye ubora

Katika kipindi ambacho wengi walidhani mlinda lango Aishi Manula ameisha kutokana na umri na jeraha, golikipa huyo wa taifa na wa klabu ya Azam FC amerudi kwa nguvu zake kamili, akithibitisha kuwa hadithi za sifa mbaya zilikuwa mbali na ukweli.

Safari ya Kurudi Uwezo

Baada ya kupata jeraha lililomfanya akae nje ya uwanja kwa muda mrefu na baadae kuachwa na waliokuwa waajiri wake wa zamani klabu ya Simba, Manula alikumbwa na maoni hasi na baadhi ya watu waliodhani alikuwa amemaliza kazi yake ya soka.

Lakini mchezaji huyo, kwa heshima na uvumilivu, alikubali hali hiyo bila kuwakosea heshima wale waliokuwa wakishiriki katika maisha yake ya awali ya soka.

Mazoezi makali na kujituma bila kuchoka ndicho kilichomsaidia kurudisha kiwango chake cha juu. Matokeo yake sasa Manula amerudi kuwa tegemeo katika klabu yake ya Azam FC na pia akirejeshwa kwenye kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars'.

Unaweza kusema Manula ni mfano wa kuigwa kwa magolikipa wengine wazawa ambao wana ndoto ya kufanya mambo makubwa kwenye soka la Tanzania. Kila hatua yake, kila hatua yake inafundisha vijana jinsi ya kujituma na kudumisha kiwango bila kujali changamoto.

More Stories

Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
7m ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
36m ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
1h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
2h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
2h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
3h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
3h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
16h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
17h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
18h ago
READ MORE β†’