Gwiji wa filamu za mapigano na bingwa wa sanaa ya karate, Chuck Norris, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 86.
Kwa mujibu wa taarifa zilizothibitishwa na familia pamoja na vyombo vya habari vya kimataifa, nyota huyo alifariki tarehe 19 Machi 2026 nchini Marekani, akiwa amezungukwa na familia..... download Xtra 90 App



