Mnyama Simba Sc ametakata uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo leo akiibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya TRA United katika mchezo wa ligi kuu ya NBC.
Unaweza kusema TRA United leo walikutana na soka la aina tofauti kabisa kutoka kwa vijana wa kocha Steve Barker waliokuwa na kiu ya alama tatu.
Simba iliandika bao la kwanza mapema tu kwenye dakika ya 12 kupitia kwa Suleiman Mwalimu..... download Xtra 90 App



