Local,Normal News,Local,Normal News,International,Normal News,UEFA,EPL

Timu nafasi ya 7 EPL inaweza kushiriki Champions league, UEFA yathibitisha

Xtra 90 Media By Xtra 90 Media
β€’
23 Mar 2026
Timu nafasi ya 7 EPL inaweza kushiriki Champions league, UEFA yathibitisha

Shirikisho la soka la Ulaya, UEFA, limethibitisha kwamba timu itakayomaliza nafasi ya 7 katika ligi ya Premier League msimu huu inaweza kupata nafasi ya kushiriki katika michuano ya UEFA Champions League ya msimu wa 2026-27, iwapo;

Kama Aston Villa watashinda taji la UEFA Europa League na kumaliza katika nafasi ya 5 au 6 kwenye ligi ya Premier League, basi nafasi ya 7 itakuwa na uwezekano wa kuingia Champions League.

Pia, ikiwa Liverpool watashinda taji la UEFA Champions League na kumaliza katika nafasi ya 5 au 6 kwenye ligi ya Premier League, basi pia timu ya 7 itakuwa na nafasi ya kushiriki katika michuano hiyo ya mabingwa barani Ulaya.

Uamuzi huu wa UEFA unaweka uwiano wa haki kati ya mashindano ya ndani.

More Stories

Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
48m ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
1h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
1h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
2h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
3h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
4h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
4h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
17h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
17h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
18h ago
READ MORE β†’