Local,Normal News,Simba, Stars

Morice Abraham achukua nafasi ya Msuva Stars

Joel JJ By Joel JJ
β€’
24 Mar 2026
Morice Abraham achukua nafasi ya Msuva Stars

Kiungo mshambuliaji wa Simba Morice Abraham ameongezwa kwenye kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' kinachojiandaa na mashindano ya FIFA Series yatakayofanyika Rwanda katika kipindi hiki cha mapumziko ya kalenda ya FIFA.

Kocha Mkuu wa Stars Miguel Gamondi amethibitisha kuongezwa kwa Abraham ambaye amechukua nafasi ya Simon Msuva aliyeshindwa kujiunga na timu.

"Msuva ameshindwa kuja nchini kutokana na hali ya Iraq, imekuwa ngumu kupata ndege kwa wakati hivyo nafasi yake tumemuita Morice Abraham."

"Tunaendelea vyema na maandalizi yetu ambapo tunatarajiwa leo wachezaji wanne ambao bado hawakuwa wamewasili kambini wataripoti," alisema.

Tanzania itashiriki 2026 FIFA Series Kigali, Rwanda, michuno inayotarajiwa kuanza March 26–30, 2026, uwanja wa Pele. Tanzania imepangwa kundi Group B pamoja na Liechtenstein, Aruba, na Macau

Mechi ya kwanza watacheza March 26, 2026, dhid ya Liechtenstein. Michuano hii iko ndani ya kalenda ya FIFA.

More Stories

Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
1h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
1h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
2h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
3h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
3h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
4h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
5h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
18h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
18h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
19h ago
READ MORE β†’