Klabu ya Tottenham Hotspur imeingia katika hofu kubwa ya kushuka daraja kufuatia kipigo kizito cha mabao 3-0 kutoka kwa Nottingham Forest mwishoni mwa wiki iliyopita katika mchezo wa Ligi Kuu England.
Katika pambano hilo muhimu kwa pande zote mbili zilizokuwa zikisaka pointi za kujinasua kutoka mkiani, Forest walionyesha ubora mkubwa kwa kufunga mabao kupitia Morgan Gibbs-White,Taiwo..... download Xtra 90 App



