Alhamisi, Machi 26, 2026; Dirisha la usajili linaendelea kupasha moto soka la Ulaya huku taarifa mbalimbali zikieleza mipango ya klabu kubwa kujipanga kwa msimu ujao. Hizi hapa ni tetesi kuu zinazozungumzwa leo.
Al-Ittihad wafufua mpango wa kumsajili Mohamed Salah
Klabu ya Saudi Pro League, Al-Ittihad, imefufua nia yake ya kumtaka mshambuliaji wa Liverpool, Mohamed..... download Xtra 90 App



