Wito wa kumrejesha mshambuliaji nyota Neymar katika kikosi cha timu ya taifa ya Brazil kuelekea Kombe la Dunia 2026 umeendelea kushika kasi, huku kocha mkuu Carlo Ancelotti akisisitiza kuwa hatayumbishwa na shinikizo la mitandao ya kijamii katika maamuzi yake ya uteuzi.
Baadhi ya wachezaji wa Brazil, akiwemo Vini Jr, wametaja wazi kuwa uwepo wa Neymar ni muhimu kwa mafanikio ya timu hiyo,..... download Xtra 90 App



