Kocha Mkuu wa Young Africans SC, Pedro Goncalves, unaweza kusema kwa kuangalia takwimu 'hajafeli' lakini kinachofanya ahukumiwe ni pale timu yake inaposhindanishwa na Yanga ya msimu uliopita.
Pedro alitambulishwa rasmi Oktoba 25, 2025 siku ambayo Yanga SC ilikuwa dimbani ikicheza dhidi ya Silver Strikers katika hatua ya awali ya Ligi ya Mabingwa Afrika, huku yeye akifuatilia mchezo huo..... download Xtra 90 App



