Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limeahirisha hadi wiki ijayo shauri lililofunguliwa na Simba SC dhidi ya mchezaji wa Yanga Mohamed Damaro Camara kuhusiana na uraia wa kiungo huyo.
Imeelezwa sababu ya kuahirishwa ni kuchelewa kwa Yanga na mchezaji Damaro kupokea wito rasmi wa kuhudhuria kikao cha Kamati ya Hadhi na Sheria za Wachezaji za TFF.
Simba imefungua shauri hili ikidai..... download Xtra 90 App



