Rais wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF), Patrice Motsepe, ameonyesha hasira kali kufuatia hatua ya timu ya taifa ya Senegal kufanya sherehe za ubingwa wa AFCON 2025 jijini Paris, Ufaransa, licha ya kunyimwa rasmi taji hilo.
Senegal walifanya sherehe hizo Jumamosi, Machi 28, 2026, wakionesha kombe hilo mbele ya mashabiki wao barani Ulaya, hatua iliyozua mjadala mkubwa ndani na nje ya bara..... download Xtra 90 App



