Katibu Mkuu wa Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF), Veron MosengoOmba, ametangaza rasmi kujiuzulu nafasi yake, kuanzia siku ya Jumapili, Machi 29, 2026. Uamuzi huu umechukuliwa baada ya zaidi ya miaka 30 ya utumishi wa soka la kimataifa na utendaji mkubwa katika mashindano ya bara.
MosengoOmba alihudumu kama Katibu Mkuu tangu mwaka 2021 baada ya uteuzi na Rais wa CAF, Patrice Motsepe,..... download Xtra 90 App



