Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, imeibuka na ushindi mkubwa wa mabao 6-0 dhidi ya Macau katika mchezo wa kimataifa wa kirafiki wa mashindano ya FIFA Series uliochezwa leo Jumapili kwenye Uwanja wa PelΓ©, Kigali nchini Rwanda.
Taifa Stars ilianza mchezo huo kwa kasi na kufungua ukurasa wa mabao dakika ya 16 kufuatia bao la kujifunga la mchezaji wa Macau, hali iliyowapa Tanzania..... download Xtra 90 App



