Beki wa kimataifa wa Uingereza, Harry Maguire, anatarajiwa kuongeza mkataba wake wa kuendelea kuitumikia Manchester United kufuatia mazungumzo yaliyoripotiwa kufikia hatua za mwisho kati yake na klabu hiyo ya Ligi Kuu England.
Taarifa kutoka vyanzo vya karibu na klabu hiyo zinaeleza kuwa pande zote mbili zinaonesha utayari wa kuendelea na ushirikiano, huku uongozi wa United ukiridhishwa..... download Xtra 90 App



