Katika pambano muhimu linaloendelea kuvutia umakini mkubwa wa mashabiki wa soka duniani, timu ya taifa ya Democratic Republic of the Congo imeingia hatua ya mwisho ya intercontinental playoff itakayowapa nafasi ya kufuzu kwa FIFA World Cup kwa mara ya kwanza tangu 1974.
Ushindi dhidi ya Jamaica usiku wa leo utaiwezesha Congo kuendelea moja kwa moja hadi fainali za Kombe la Dunia nchini..... download Xtra 90 App



