Kikosi cha Simba kinajifua Mo Simba Arena kujiandaa na mchezo wa ligi kuu dhidi ya Coastal Union ambao utapigwa Alhamisi, April 02 katika uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo.
Huu ni moja ya mechi mbili za viporo ambazo Simba itacheza ili kukamilisha mechi za mzunguuko wa kwanza.
Mchezo mwingine wa mzunguuko wa kwanza ambao bado haujapangiwa tarehe ni dhidi ya TRA United ambao awali..... download Xtra 90 App



