Klabu ya Azam FC imeendelea kuonyesha ubora wake katika Ligi Kuu NBC baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Singida Black Stars katika mchezo uliopigwa leo Jumatano, Aprili 1, 2026.
Mchezo huo ulifanyika katika Uwanja wa Airtel Stadium mkoani Singida, ukiwa na ushindani mkubwa kutoka kwa pande zote mbili.
Azam FC walikuwa wa kwanza kupata bao kupitia Lusajo Mwaikenda..... download Xtra 90 App



