Neymar Hatatarajiwa Kujumuishwa Kikosi cha Ancelotti Kombe la Dunia

Xtra 90 Media By Xtra 90 Media β€’ 2nd April 2026


Neymar Hatatarajiwa Kujumuishwa Kikosi cha Ancelotti Kombe la Dunia

Nyota wa kimataifa wa Brazil , Neymar jr, hatatarajiwa kujumuishwa katika kikosi kitakachoenda kushiriki FIFA World Cup 2026 chini ya kocha Carlo Ancelotti.

Kwa mujibu wa taarifa kutoka ESPN, kikosi cha Ancelotti kinatarajiwa kufanana kwa kiasi kikubwa na kile kilichotumika katika mapumziko ya mwisho ya kimataifa, hali inayopunguza nafasi ya Neymar kurejea kikosini kwa sasa.

Uamuzi huo unaweza kuzua mjadala mkubwa miongoni mwa mashabiki, ukizingatiwa mchango mkubwa wa Neymar katika timu ya taifa ya Brazil kwa miaka mingi.


  

XTRA 90 INSIDER

Get the latest tactics & rumors delivered to your inbox.