Siku ya leo, Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) ilifanya kikao cha kusikiliza shauri lililowasilishwa na Simba SC dhidi ya mchezaji wa Yanga β Mohamed Damaro, likiwa linalohusu kutilia shaka uhalali wa usajili wake.
Kwa mujibu wa taarifa, upande wa Simba ulijibu wito wa kamati hiyo na kuwasilisha hoja zake mbele ya wajumbe, huku..... download Xtra 90 App



