Local,Normal News,Simba, Coastal

Mpanzu akwama kuivaa Coastal Union, sababu yatajwa

Joel JJ By Joel JJ
β€’
2 Apr 2026
Mpanzu akwama kuivaa Coastal Union, sababu yatajwa

Kiungo mshambuliaji wa Simba Elie Mpanzu anatarajiwa kukosa mchezo wa ligi kuu dhidi ya Coastal Union ambao utapigwa leo Alhamisi, April 02 katika uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo jijini Dar es salaam.

Taarifa kutoka ndani ya uongozi wa Simba imebainisha kuwa Mpanzu nakosekana kwenye mchezo huo kutokana na changamoto ya kuugua.

Mkufunzi wa Simba Steve Barker amempa mapumziko Mcongomani huyo ili aweze kuimarika zaidi.

Hata hivyo Mpanzu anaweza kurejea kikosini kwenye maandalizi ya Derby ya Mzizima ambapo Simba itaumana na Azam Fc uwanja wa Azam Complex siku ya Jumatano

More Stories

APR Fc yawaondosha aigles du congo kwenye caf champions league
APR Fc yawaondosha aigles du congo kwenye caf champions league
6h ago
READ MORE β†’
Azam Fc yaomboleza kifo cha mlinda lango U20
Azam Fc yaomboleza kifo cha mlinda lango U20
10h ago
READ MORE β†’
Hatuna presha kuikabili Yanga - Kocha Gaborone United
Hatuna presha kuikabili Yanga - Kocha Gaborone United
11h ago
READ MORE β†’
Manqoba aweka tahadhari mechi dhidi ya Gaborone United
Manqoba aweka tahadhari mechi dhidi ya Gaborone United
13h ago
READ MORE β†’
Rasmi: JoΓ£o Pedro Atwaa Tuzo Ya Mchezaji Bora Wa Mwezi Wa Agosti
Rasmi: JoΓ£o Pedro Atwaa Tuzo Ya Mchezaji Bora Wa Mwezi Wa Agosti
16h ago
READ MORE β†’
Simba inalenga hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, nusu fainali ni lengo kubwa
Simba inalenga hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, nusu fainali ni lengo kubwa
16h ago
READ MORE β†’
Libasse awapiga chini Max na Mwajanga, Kwenye tuzo za Mwezi.
Libasse awapiga chini Max na Mwajanga, Kwenye tuzo za Mwezi.
16h ago
READ MORE β†’
Fei Toto azipotezea Simba, Yanga
Fei Toto azipotezea Simba, Yanga
18h ago
READ MORE β†’
Xtra 90 Bets : Utabiri wa mechi 21, Septemba 11 2026
Xtra 90 Bets : Utabiri wa mechi 21, Septemba 11 2026
22h ago
READ MORE β†’
UEFA champions league: matokeo ya usiku
UEFA champions league: matokeo ya usiku
1d ago
READ MORE β†’