Kocha msaidizi wa Singida Black Stars david Ouma ameweka wazi kutoridhishwa kwake na safu ya ushambuliaji ya timu hiyo kufuatia mwendelezo wa matokeo yasiyoridhisha katika michezo ya hivi karibuni ya Ligi Kuu.
Akizungumza baada ya mchezo wao wa karibuni waliopoteza dhidi ya Azam Fc wakifungwa mabao 2-1 kwenye uwanja wao wa nyumbani, Ouma alisema changamoto kubwa si namna timu inavyocheza,..... download Xtra 90 App



