Kocha Msaidizi wa Yanga Mathew Silva amesema maandalizi kuelekea mchezo wa ligi kuu dhidi ya Tanzania Prisons yamekwenda vizuri na matarajio yao ni kushinda mchezo huo utakaopigwa kesho Jumamosi, April 04 katika uwanja wa KMC Complex.
Akizungumza katika mkutano na wanahabari mapema leo, Mathew alisema timu imepata muda wa kujiandaa na mchezo huo huku wachezaji wao wakirejesha utimamu wa..... download Xtra 90 App



