Kocha Mkuu wa Azam Fc Florent Ibenge amesema mechi ya ligi kuu dhidi ya Simba itakayopigwa kesho Jumapili katika uwanja wa Azam Complex, inazikutanisha timu bora ambazo ziliiwakilisha Tanzania katika michuano ya CAF msimu huu.
Ibenge amesema ili kuweza kushinda mchezo huo watalazimika kupandisha kiwango chao na kuwazidi Simba.
"Simba Sc sio timu ndogo, ni miongoni mwa timu bora..... download Xtra 90 App



