Droo ya michuano ya Nusu Fainali ya FA Cup Yathibitishwa.
Michuano ya nusu fainali ya FA Cup;
- Chelsea vs Leeds United
- Manchester City vs Southampton
Mechi hizo zinategemewa kuchezwa ndani ya weekend ya tarehe 25 Mwezi huu katika uwanja wa Wembley.
Droo ya michuano ya Nusu Fainali ya FA Cup Yathibitishwa.
Michuano ya nusu fainali ya FA Cup;
Mechi hizo zinategemewa kuchezwa ndani ya weekend ya tarehe 25 Mwezi huu katika uwanja wa Wembley.
Get the latest tactics & rumors delivered to your inbox.