Klabu ya Simba SC inapanga mikakati mipya ya kuboresha matokeo yake baada ya sare waliyopata dhidi ya Azam FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC uliochezwa kwenye Uwanja wa Azam Complex jana.
Akizungumza baada ya mchezo huo, Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ali, alisema wazi kuwa matokeo hayo hayakuwa malengo ya timu, lakini wamelazimika kuyakubali huku wakielekeza nguvu..... download Xtra 90 App



